BIASHARA NA NJIA ZILIZO NIFANYA KUSAVE ZAIDI YA 13 MILLION NDANI YA MIEZI MITANO (5) TU. HUKU NIKITUMIA MITANDAO YA KIJAMII.
AMBAPO HATA WEWE UNAWEZA
Naitwa Mr Kombo Ni Business Builder, Trainer & Business Coach Nawasaidia kuwanyesha na kuwaongoza Vijana na waajiriwa wanaotaka kuongeza Kipato chao kwa kujenga biashara yenye Uhuru kupitia Mitandao ya kijamii na Mfumo wa kisasa wa BIASHARA.
Ni ukweli ulio wazi kwamba kila Mwanadamu/kijana matamanio yake makubwa ni kuishi maisha mazuri yenye mafanikio. Nikiwa kama kijana mwenzako naelewa namna unavyojisikia pindi matarajio yako na malengo yako hayaendi vile unavyotaka pengine umesoma kwa bidii(umehitimu) ama upo chuo lakini unaona namna nafasi za kazi/ajira ni ndogo,
AU pengine wewe ni mwajiriwa na unaona namna mshahara bado hautoshi kukidhi maitaji yako na kukufanya kufikia malengo yako
Pengine wewe ni mpambanaji lakini bado likija swala la kulipa kodi, ada, na kutimiza malengo yako bado ni tatizo, na umechoka kutafuta pesa ya kula tu na si ya kufanya maendeleo
Basi changamoto Na maswali yako yamefika Mwisho na ndani ya muda mchache ujao utaona ni kwa jinsi gani Ndoto zako zitakavyo enda kutimia kwa kufanya yafuatayo.
Unachotakiwa ufanye kwa sasa fuata mwongozo hapo chini.
LEO NITAENDA KUKUONESHA HATUA KWA HATUA HII SIRI INAYOTUMIWA NA WATU WALIO FANIKIWA NA NAMNA GANI WEWE UNAWEZA KUITUMIA KUKUZA KIPATO CHAKO.

Nitakuonesha ufanye biashara gani pasipo kuitaji uwe na duka wala frame huku ukitumia mitandao ya kijamii kukuza na kujenga PASSIVE INCOME (Kipato ambacho hakikutegemei wewe pekee)

Namna unaweza kutengeneza 2 millioni kila mwezi pasipo kuacha masomo/kazi yako wala kumuajiri mtu.

Namna unaweza kusafiri dunia huku ukiwa na uhuru wa muda na kipato.
Huku ukiweza kutumia simu yako kujenga biashara kubwa.

Namna unaweza kuendesha na kumudu majukumu na gharama za maisha yako kupitia huu mfumo huku ukiweza kutengeza kipato chako pasipo kuitaji ajira nyingine

Namna unavyoweza kuanza hatua kwa hatua kufanyia kazi malengo yako madogo kwa makubwa kupitia huu mfumo huku ukitumia mitandao yako ya kijamii.
Mr Kombo, Founder Next Millionaire Club
Ngoja nikupe story kidogo miaka 8 iliyopita nilikuwa sina matumaini kabisa juu ya ndoto zangu na maisha mazuri kwasababu nilikuwa nipo chuo kikuu huku nikiona Changamoto za ajira kwa vijana zilivyo kuwa kubwa na hata wanao fanikiwa kuajiriwa hukumbana na mishahara midogo huku majukumu kuwa makubwa na family zikiwategemea.
Kulingana na hilo na ukizingatia nimetokea katika mazingira ya kawaida basi nilijaribu kufanya biashara tofauti tofauti ila niliishia kupoteza pesa.
Kulingana na watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa basi nilijiwekeza katika kujifunza ndipo 2019 niligundua siri wanayoitumia watu walio fanikiwa na huwezi kuambiwa na ukiambiwa basi utapewa taarifa za juu juu tu..
Baada ya kuifahamu nilianza kuifanyia kazi na ikanisaidia kumudu gharama zangu na kuendesha maisha na ndani ya miezi mitano tu nikafanya saving ya 13.5 na nikanunua gari langu BMW nikiwa na Umri wa Miaka 24 Tu.
Mfumo huu leo umeniwezesha kufanya uwekezaji kwa kununua Aridhi zaidi 21 Million ndani ya miezi 7 tu.

Privacy Policy | Terms of Service| Disclaimer
Copyright © 2020 - 2025 Your Brand | All Rights Reserved Worldwide
Simply enter your details below and click on Get Instant Access
Information will be sent to the email address you provide above